Mama mzazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya picco aliye wahi kutamba na ngoma ya "kikongwe" enzi zile amefaliki dunia siku ya tarehe 16/10/09, Mama yake Picco alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya titi, Mama yake Picco amefariki akiwa Mpanda, Sumbawanga na mazishi yatafanyika huko huko, MPANGO MZIMA INAKUPA POLE SANA PICCO NA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMENI.
MAKAMU WA PILI WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO YA QUR’AAN
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano makubwa zaidi ya
Q...
2 hours ago

This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete