Itakuwa ni siku ya y kufurahi kwa pamoja tukiwa na ndugu zetu kutoka bara hili hili ambalo mwenyezi mungu kali bariki mambo mengi tu mazuri na yakuvutia ni siku ambayo macho yetu yatakula chakula tofauti chakula ambacho kitayaacha macho yetu yakiwa katika hali nzuri ya kiburudani. Siku ambayo wanamuziki wakubwa hapa Afrika watatuwa bongo ni ANGELIQ KIDJO kutoka Benin's na YOUSSONDOR kutoka Senegal's hii ni tarehe 14/11/09, si unajuwa tena mgeni lazima atakuwa na mwenyeji basiiiii... dada yetu jay dee ndio kama kakaa humo..!! Hii itakuwa katika ukumbi wa Mlimani City
DKT. MWIGULU AAGIZA UTHAMINI UKAMILISHWE, WANANCHI WALIPWE FIDIA KUPISHA
UWEKEZAJI
-
▪️︎ Ataka maandalizi ya eneo la ekari 50 kwa shughuli za kiuchumi za vijana
yaharakishwe
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kukamilishwa haraka kw...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment
,