Juhudi za mwanuamuziki Beyonce za kujaribu kufanya onyesho nchini Misri zimebuma, maofisa wa nchi hiyo wanahisi onyesho la mwana dada huyu litazuwa timbwili.
Waislam wenye msimamo mkali wamedai kuwa onyesho la bi-shosti huyo linaweza kuhatarisha amani katika jamii ya Waislam waishio nchi humo.
Kundi hilo la kiislam lenye hitikadi kali limeilalamikia serikali ya nchi hiyo kwa kuruhusu onyesho hilo kuendelea wakidai kuwa vivazi vya Beyonce vinapotosha jamii.
Hata hivyo waandaaji wa onyeshio hilo wamekana ripot hizo wakidai kwamba nchi ya Misri haina haina sheria na msimamo makali kwa wasanii wanao kuja kufanya maonyesho.....
HAYA SASA WAKATI HAPA BONGO RAIA WANAMTAMANI MBAYAAA KUMUONA LAKINI HUKO WAMEGOMA INGEKUWA BONGO INGEWAJE....????
VETA yadhamiria kufikia 50% ya udahili wa wasichana kwenye vyuo vyake
-
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA, Anthony Kasore akizungumza wakati wa
kuhitimisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi walioomba kujiunga na mafunzo ya
ufundi ...
24 minutes ago
bwana hizi nchi wana msimamo mbaya! hata malaysia alitaka kuja wakampa NO... kibongo bongo mara moja tu angekua kesha ingia..
ReplyDelete