Nawapenda sana na karibuni sana katika MPANGO MZIMA ili tuendelee kupeana taarifa mbali mbali zinazohusu maswaala ya burudani. HUU NDIO MPANGO MZIMA.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago

nakupenda unavyotangazia your voice inavyotoka kama benzi fulani hivi
ReplyDeletehongera kwa kazi nzuri
misswhite from zenj
NAMI PIA NASHUKURU KWANZA KWA KUTEMBELEA BLOG YANGU NA PILI KUWA MSHABIKI WANGU KARIBU SANA KATIKA MPANGO MZIMA...!!!
ReplyDeleteDullah,mi nakuzimia ile mbaya,kuanzia ww mwenyewe mpka show yako,una swaga za kufa mtu,pamoja wa kiumeni!lyk yu...
ReplyDelete