.

Friday, November 13, 2009

MZIGO UTAONGOZWA NA LL COOL J..

Rapper LL COOL J amechaguliwa kuwa mshereheshaji katika onyesho la The Grammy Nominations linalo tarajia kufanyika jijini Los Angeles.
LL ambaye alishawahi kushinda tuzo hizo, ataongoza mzigo huo kwa mara ya pili mfululizo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kukamua katika onyesho hilo ni kundi la Black Eyed Peas, Maxwell na Sugarland.

No comments:

Post a Comment

,