.

Wednesday, November 4, 2009

HII NI KWA AJILI YA MASHABIKI WOTE WA WITNESS..

Hii picha ni kwa msaada wa Dj Choka.

Huu ni utaratibu poa sHana ambao mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Bongo ameamuwa kuufanya hapa namzungumzia bi-shosti Witness ambaye mwanzoni ulikuwa unamsoma poa katika kundi la WAKILISHA lililokuwa linaundwa na Langa, Sara pamoja na yeye mwenyewe.

Alicho kifanya Witness ni kuanzisha FUNS CLUB yake ambapo mashabiki zake watapata nafasi ya kujiunga hapo na watakuwa wanapata habari na mambo mengine mengi tu yanayo muhusu mwanamuziki huyo, kama ww ni moja kati ya mashabiki wa Witness unachotakiwa kufany nikujiunga kuanzia sasa na jinsi ya kujiunga ni hivi....

UNAANDIKA NENO WITNESZ HALAFU UNATUMA KWENDA NAMBA 15522 NA HAPO UTAKUWA UMEJIUNGA KWENYE FUNS CLUB YA DADA MKUBWA WITNESS FANYA HIVYO HALAFU TUONEEEEE...!!!!

No comments:

Post a Comment

,