
Hata hivyo msemaji wake amenukuliwa akisema anatarajia Sir John kurejea jukwaani mapema kwa ajili ya kuendelea na matamasha yake.
Ugonjwa huo ulipelekea Elton John kuahirisha matamasha yake ya Uingereza, Ireland hata lile lililopangwa kufanyika Oktoba 23 huko Sheffield na mengine matatu yaliyokuwa yafanyike November 4 na 7.
No comments:
Post a Comment
,