.

Tuesday, November 10, 2009

HUYU NDIO NICKY MAUJANJA....!!!!

Huyu mchizi ni moja kati ya watu walio tunga jina la MAUJANJA kutumika kama kundi ambapo tuna fahamu kuna wasanii wengine kama mapacha na wengineo, mchizi kwa sasa yupo chuo anapiga book kwa ajili ya kujiendeleza zaidi.
Jamaa ulianza kumsoma poa kupitia ngoma yake ya SMS ambayo inafanya poa katika chat za video za CHANNEL O na kwa sasa ameachia mkwaju mwingine unaitwa IMEKULA KWAKO.

1 comment:

,