.

Wednesday, November 25, 2009

CHAMELEONE NA BEBE COOL..

Fununu zinadai kwamba wapinzani wawili Jose Chameleone na Bebe Cool wako studio kurekodi albam ya pamoja.
Inasemekana wanataka kutumia njia hii kama njia moja wapo ya kuwawezesha kutikisa tena anga ya muziki Afrika Mashariki.
Wimbo wa kwanza pengine kuachiwa ni remix ya wimbo uitwao 'Bogolako' ambao aliuimba Bebe Cool.

2 comments:

,