.

Wednesday, November 11, 2009

VIJANA WANAENDELEZA MAKAMUZI FINLAND...

Wanamuzi wa kizazi kipya pamoja na wangoma za asili, Dudu Baya, Benjamini pamoja na kikundi cha Sanaa Sana wanaendelea kugawa burudani kabla ya kurejea hapa nyumbani kutokea huko Finland.

Huyu ni the Dudu akiwakilisha katika stage alafuuuu... si unaona hapo kwenye mfuko wa jeans kunakitu gani...???

oooiiii....!!!! niaje...??? huyu ni Producer ambaye amefanya mengi mazuri katika huu muziki wetu wa bongo flava, yupo pamoja na wakina dudu baya katika show zao anaitwa mika mwamba..!!!

Huyu ni Mad Ice akihakikisha kila kitu kinachohusika katika ratiba kinakwenda sawa.

Ratiba ya tour yao ni kama ifuatavyo:

3-Nov Tue Studio
4-Nov Wed Close Encounters Show & Clinic - Sanaa Sana
PM 14.00 at Arabia Hall
5-Nov Thu Studio etc time
6-Nov Fri Korjaamo - Helsinki Club Show
7-Nov Sat Tampere Club
8-Nov Sun Children - Fathers day performances
Sanaa Sana Show
HipHo...p WorkShop with kids
Art in Tanzania Stand
9-Nov Mon Studio etc time
10-Nov Tue Studio etc time
11-Nov Wed Studio etc time
12-Nov Thu Studio etc time
13-Nov Fri Metro Club Helsinki
14-Nov Sat Free time
15-Nov Sun Departure

3 comments:

  1. SI HABA WANAENDELEZA KUSUKUMA HILI GURUDUMU LA BONGO FLAVA INSHALLAH MUGU ATA JALIA KHERI

    ReplyDelete
  2. Yule mwenye GITAA ni Ashimba?
    Kijana anafanya vema saana tangu enzi za SISI TAMBALA. Naiheshimu kazi yake na namtakia mafanikio katika safari yake.
    Well!! Hii ni pamoja na wasanii wote wenye muelekeo wa kuitambulisha Tanzania katika tasnia ya muziki nzhini
    Blessings

    ReplyDelete

,