.

Thursday, November 12, 2009

EVANDER KUKIPIGA NDANI YA UGANDA

Mwanandondi mkongwe Evander Holyfield anatarajia kutuwa nchini Uganda kwa ajili ya pambano moja ambalo linatarajiwa kufanyika mwezi ujao.
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Evander kukanyaga ardhi ya nchini Uganda.
Katika pambano hilo ambalo litafanyika jijini Kampala mwanandondi huyo anatarajia kukipiga na mchizi kutoka Afrika Kusini anaitwa Francois "White Buffalo" Botha.

No comments:

Post a Comment

,