Rose amepata ajali hiyo Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, alipata ajali hiyo akiwa na wanakwaya wenzie wakielekea mkoani humo baada ya kutoka kwenye mkutano mmoja wa Injili uliokuwa ukifanyika wilaya Kiteto mkoani Manyara.
Ajali hiyo mbaya ilitokea jana usiku mishale ya saa tano na nusu, Hata hivyo muimbaji huyo pamoja na wenzie waliniusurika baada ya wote kutoka salama ingawa gari lilikuwa limepondeka vibaya.
No comments:
Post a Comment
,