PLANET BONGO KILA JUMAMOSI SAA NNE ASUBUHI EAST AFRIKA RADIO NA KILA JUMA TANO SAA TATU KAMILI USIKU EATV.
KUWA MAKINI
TULIA NA MMOJA UNAYE MPENDA, ACHA NGONO ZEMBE
POWER JAMS
POWER JAMS,JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 10 ALASIRI EAST AFRICA RADIO.
MATING'A
DEEJAY AD a.k.a MAFUVU.
KUTANA NA DEEJAY AD KWENYE POWER JAM KILA J.3 NA ALHAMISI (1:00 - 4:00 pm), THE CRUISE J5 (8:00-9:00 pm), PLANET BONGO JUMAMOSI (10:00 - 12:00 pm) & FNL. NDANI YA EAST AFRICA RADIO & TV, TING'A KALI NAMBA MOJA KWA VIJANA
...BATA NITE!!!
SAUZ...2010!!!
Thursday, November 26, 2009
MATONYA NA KALLAGE SASA DUGU MOJA...!!!
Kama unavyo juwa mwanzoni kulikuwa na utata kati ya Kallage na Matonya kuhusu maswala ya kazi kama unavyo juwa Kallage ni mtayarishaji wa video hapa bongo na Matonya ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa maana hiyo hawa jamaa kazi zao zinategemeana hapo ndipo utata ulipoanza na ilifikia hatuwa walikuwa wanaishi kma paka na panya.
Lakini kwa sasa utata wote kushinei jamaa wameelewana wapo poa sana na katika kuthibitisha hilo kesho tarehe 27 Matonya atafanya video yake ya wimbo wa MARIAM na mchizi Kallage.Lakini kwa mujibu wa Kallage mwenyewe amesema anataka kumalizana na wale wote aliowakwanza mwanzoni akiwamo Lady Jay Dee.
Hilo ndilo lililo jema kwa wote kutambua kuwa kazi zao ZATEGEMEANA na bila kuelewana hakuna anayeweza kusonga akijivunia maisha yake katika kazi hiyo. Nashukuru kuwa wameamua kuacha tofauti zao na pia twashukuru kuwa umeweza kuenzi uamuzi wao. PamoJAH Blessings
ss ndicho tunachohitaji Mzee wa Changamoto na Kallage hakupishana kauli na Matonya tu wapo wengi lakini hii ilitokana na kipindi kile yy alikuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba alishindwa kumaliza nyingine katika muda muaafaka lakini ameamuwa kuwaomba radhi wote na kuanza upya.
Mhe. Nderiananga akutana na Makamu wa Rais IFAD
-
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, na
Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu
wa Rais...
NI WEWE KAMPENI, MAENEO YA ITUNUNDU PAWAGA JANA
-
Ni Wewe ni kampeni iliyozinduliwa na redio Ebony FM iliyoko Nyanda za juu
kusini, ikiwalenga zaidi wananchi wa vijijini ambao miundo mbinu ya umeme ...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
Hilo ndilo lililo jema kwa wote kutambua kuwa kazi zao ZATEGEMEANA na bila kuelewana hakuna anayeweza kusonga akijivunia maisha yake katika kazi hiyo.
ReplyDeleteNashukuru kuwa wameamua kuacha tofauti zao na pia twashukuru kuwa umeweza kuenzi uamuzi wao.
PamoJAH
Blessings
ss ndicho tunachohitaji Mzee wa Changamoto na Kallage hakupishana kauli na Matonya tu wapo wengi
ReplyDeletelakini hii ilitokana na kipindi kile yy alikuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba alishindwa kumaliza nyingine katika muda muaafaka lakini ameamuwa kuwaomba radhi wote na kuanza upya.