.

Monday, November 9, 2009

CANNIBAL YUPO MBIONI KUFANYA KAZI NA WANA KUTOKA SOUTH AFRIKA.

Rapper Cannibal wa nchini Kenya anatazamia kupata mkataba na kampuni ya kurecord muziki nchini Afrika Kusini.
Mchizi alikuwa nchini humo kwa ajili ya kuhudhuria halfa ya tuzo za muziki amedai kuwa ameshaongea na baadhi ya kampuni hizo na haja ridhishwa nazo lakini atapopata moja itakayo mridhisha na mkataba wa maana basi hao ndio ataingia nao mkataba.

No comments:

Post a Comment

,