
Hapa namzungumzia Ruta Bushoke ambaye alifanya poa sana na ngoma yake ya Dunia njia, Sasa inasemekana jamaa yupo Dodoma na huko anaandaa bendi yake ambayo kwa sasa wanafanya mazoezi ya kufa mtu kwa ajili ya kurudi tena rasmi katika ulimwengu huu wa Bongo Flava.
Kwa maana hii idadi itaongezeka ya wasanii wa Bongo Flava ambao wanafanya kazi na Live Band kama B BAND, MACHOZI BAND na nyinginezo.
No comments:
Post a Comment
,