.

Monday, November 9, 2009

MAUCHAFU KUIKOMALIA BONGO FLAVA.

Hii ni kampuni inayojihusisha na harakati za kuendeleza muziki wetu wa Bongo Flva inaitwa MAUCHAFU INTERTAINMENT, Kampuni ambayo inamilikiwa na mchizi ambaye yeye ni mbongo lakini kwa sasa mchizi anaishi Finland huko anafanya shughuli zake pamoja na kuandaa miundombinu ya kuhakikisha muziki wetu uanfika katika level flan hivi...
Kwa sasa kampuni hiyo inawasanii kama Ney wa Mitego pamoja na Hakim 5 na wengineo ambao wapo huko Finland

No comments:

Post a Comment

,