
Wasanii wetu wahapa nyumbani wa fani za maigizo wamekuwa wakijitahidi kufanya kila linalowezekana katika kupiga hatua katika tasnia hii ya filam Bongo lakini kuna baadhi ya Wahuni,Wezi.. yaani sijui nitumie neno gani ambalo litabeba uzoto wa ushezi wanaofanya hawa jamaa.
Hawa kazi yao ni kuiba kazi za wasanii wetu na kutowa Copy Fake sasa kwa michongo hii unakuta hawa mafedhuri ndio wanafaidika kuliko wahusika wenyewe, Angalia hizo picha ni DVD Fake ambazo zimekamatwa Arusha, Mwanza, Dar es salaam vile vile zimetapakaa Congo na nchi nyingine za jirani, Sasa wadau embu mshauri tufanye nini juu ya hawa jamaa wanaofanya huu USHENZI...???

No comments:
Post a Comment
,