Baada ya mishe mishe zote hizo sasa dogo akaangukia penyewe ambapo raia walikuwa wanapataka, ameachia mkwaju mmoja matata sana unaitwa KAMWAMBIE kama bado hujausoma angalia Planet Bongo leo saa tatu usiku utaisoma..... Na kama kama ulikuwa humjuwi huyu ndio Diamond alidriki hadi kuiba pete ya dhahabu ya mama yake na kuuza kwa ajili ya kwenda kurecod duh...!!!!
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment
,