Ugonjwa homa ya mafua ya nguruwe unaosababishwa na na virusi vya H1N1, umeendelea kusambaa kwa macebreti duniani.
Mwanamuziki wa kundi la Boys II Men, Shawn Stockman imethibitika kuwa anauguwa ugonjwa huo, kwa mujibu wa habari iliyotolewa na wenzake Wanya Morris na Nathan Morris.
Wanamuziki hao wamesema kutokanan na Stockman kuuguwa ugonjwa huo wameshindwa kusafiri naye kuja Atlanta jumanne ya wikii hii ambapo kundi hilo lilialikwa kutumbuiza katika tuzo za Soul Train.
ANGELLAH KAIRUKI ASHIRIKI KONGAMANO LA UCHAGUZI, AMANI NA DUA JIJINI DAR ES
SALAAM
-
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe.
Angellah Kairuki, ameshiriki katika Kongamano la Uchaguzi, Amani na Dua
lili...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment
,