.

Monday, November 23, 2009

DJ CHOKA APEWA KICHAPO NA HOUSE BOY...!!!!

Mimi sio kama nimepewa story no...!! ishu nimeiona live bila chenga, mchezo ulianza hiviiiii....!!! mwanzoni dj choka alikuwa na jazba sana kitendo kilicho fanya kupokea kibano kutoka kwa house boy huyo na maneno kutoka kwa wapambe wa karibu ndio yalikuwa yanazidi kumchefuwa dj choka.

moracka ndio alikuwa mchochezi mkubwa wa kibano hicho cha Dj Choka, mwisho wa siku mm ndio nilio ingilia kati na kumaliza utata huo lakini kwa maelezo ya Dj choka mwenyewe anasema kilicho sababisha kupokea kibano hicho kiulaini ni kutokana na yeye kuto kuwa sio mzoefu wa PLAYSTATION na kingine kikubwa zaidi ni kwamba mchezo waliokuwa wanacheza na house boy huyo ni wa kick box na yeye alikuwa mzembe wa kummiliki mchezaji wake.


kitendo hiko kili pelekea kupokea kibano matata sana kutoka kwa mpinzani (house boy) wake ambaye yeye anaiju vizuri sana game hiyo na alikuwa anamchezesha vizuri mchezaji wake kuliko Dj CHOKA, pole kaka kwa hilo hayo magem tuna cheza sisi tu watoto wa kishua IMEKULA KWAKO
......!!!!!


No comments:

Post a Comment

,