Usiku wa tarehe 7-Nov- na 8-Nov-2009
Kutakuwa na chereko! chereko za Usiku wa utamaduni wa Mtanzania uliopewa jina
la Tanzanight,Tamasha hilo litafanyika Mjini Tampere,Finiland,
Wadau msikose Kujichanganya katika ukumbi maarufu Klub,Tampere
karibuni sana.
Kamati ya Bunge yaridhishwa na maelekezo wanayotoa kwa DART
-
*DART yaahidi kufanyia kazi maelekezo mengine kiutendaji
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya TAMISEMI imesema kuwa imeridhishwa ma...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment
,