
Tyson alikuwa akipigwa picha na paparazzi jijini Los Angeles akiwa na familia yake kitendo ambacho kilimkasirisha na kuamua kurusha ngumi.
Paparazzi huyo ilibidi akimbizwe hospitali kwa sababu alivunjika pua... huo ndio mkwaju wa bwana mkubwa Tyson na kama angekuwa bongo duh...!!! hospitali zingejaa kwa sababu najuwa bongo kwa picha tuuu hatu jambo.
No comments:
Post a Comment
,