Baba wa Michael Jackson, Joe Jackson amepigwa chini katika kurithi mali za mwanaye lakini anaweza akapata allowance.
Jaji wa mahakama amesema jina la mshua huyo halijawekwa katika mirathi lakini atakuwa anapewa kidogo fedha za matumizi.
Joe ndio alikuwa mstari wa mbele katika kutoa mafunzo na kuanzisha kundi landugu watano la The Jackson 5, kundi ambalo ndio lilikuwa mwanzo wa Michael Jackson kupata umaarufu duniani kote.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago


No comments:
Post a Comment
,