Mrisho anasafiri kuelekea Paris Ufaransa kukabithi tuzo ya msanii mwenye mashairi bora wa mwaka 2008, ambayo itashindaniwa kuanzia November 16 hadi 22 katika visiwa vya Eunion, vilivyoko kwenye Bahari ya Hindi.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment
,