.

Thursday, November 5, 2009

DJ WAXXY NDANI YA BIG BROTHER....

Dj wa kwanza afrika kufanya mixing za video na scratch Dj Waxxy ambye ni Dj kutoka Channel O, Mchizi ambaye mm nampa heshima za kutosha kutokana na kazi anayoifanya na si mm 2 hadi waandaaji wa shindano la Big Brother wameliona hilo na ndio maana amepata nafasi ya kuzuru katika jumba hilo jumamosi hii ambapo atakuwa najukumu la kuwaburudisha washiriki tisa waliobaki katika jumba hilo.
Dj Waxxy anakuwa Super Star wa tano kutembelea jumba hilo msimu huu baada ya ya D'banji kutoka Nigeria, Keri Hilson na Face of Africa winner, Kate Menson bila kumsahau Kanumba kutoka Tanzania kuzuru katika jumba hilo......

No comments:

Post a Comment

,