skip to main |
skip to sidebar
HEMED ANAJITAYARISHA KUSUKUMA MZIGO KITAA...!!
Hemed ambaye huimba mahadhi ya RnB, anajipanga kuachia albam yake mchizi pia amenicha kuwa hajashirikisha msanii yoyote. Na sababu ya yeye kufanya hivyo ni kwambaa jamaa anataka kuleta utofauti katika muziki huu wa Bongo Flava. Mzigo utakuwa unaitwa "KING WA MELODY'S sooo....!!!!!! acha tuone yaliyomo yamo....??????
Anajitahidi kuimba vizuri
ReplyDeletekama ile nyimbo yake ninachotaka ni mapenzi,
naipenda sana
but asizidiwe na sifa akajiskia sana