UJENZI BARABARA YA KAHAMA - BULYANHULU KWA UWEZESHAJI WA MIGODI YA BARRICK
NI MFANO WA UWEKEZAJI BORA SEKTA YA MADINI NCHINI
-
Mnamo mwezi Machi mwaka jana wakati Serikali kupitia Wakala wa Barabara
Tanzania (TANROADS) iliposaini mkataba wa ujenzi wa barabara kwa kiwango
cha lami...
1 hour ago
hello wakuu wa Mpango Mzima
ReplyDeleteBig Up sana kwa crew nzima ya EATV, nawapa wote pole waliomiss hyo show maana haijawahi kutokea Moshi na ndani ya club La Liga
Nilihudhuria hiyo show ilikuwa ya ukweli na uhakika na ilitendea haki wakazi wa Moshi
Ombi langu Kubwa nawaomba sanaa tena sanaa kwa heshima ya Kanda ya kaskazini Mrejee tena mybe Dec. Tunawapenda sna EATV na tunawakilisha pamoja sna
Karibuni snaaaa
Big Up Musaaa Mfalme wa uswazi na Dj Mafuvuuuu na Crew nzima