Nawapenda sana na karibuni sana katika MPANGO MZIMA ili tuendelee kupeana taarifa mbali mbali zinazohusu maswaala ya burudani. HUU NDIO MPANGO MZIMA.
MAKUMBUSHO YA TAIFA YAWANOA WASHIRIKI MISS WORLD TANZANIA 2026
-
Wataalam kutoka Makumbusho ya Taifa la Tanzania wametoa mafunzo ya
kizalendo kwa washiriki wa shindano la Urembo wa Dunia, Tanzania (Miss
World Tanzania ...
2 hours ago

nakupenda unavyotangazia your voice inavyotoka kama benzi fulani hivi
ReplyDeletehongera kwa kazi nzuri
misswhite from zenj
NAMI PIA NASHUKURU KWANZA KWA KUTEMBELEA BLOG YANGU NA PILI KUWA MSHABIKI WANGU KARIBU SANA KATIKA MPANGO MZIMA...!!!
ReplyDeleteDullah,mi nakuzimia ile mbaya,kuanzia ww mwenyewe mpka show yako,una swaga za kufa mtu,pamoja wa kiumeni!lyk yu...
ReplyDelete